Wanandoa kutoka Nigeria wamewafanya watu wengi wawe na matumaini kuwa mapenzi ya kweli yanaweza kupatikana kupitia mitandao ya kijamii
Luqmon Oriyomi Omotayo na mkewe walikutana kwa mara ya kwanza kwenye mtandao wa Twitter mwaka wa 2018 na kwa sasa wamejaliwa watoto mapacha.
Habari Nyingine: Polisi Kitui wawatia mbaroni wezi walioshukiwa kuiba KSh 1.5 milioni kwenye benki
” Alinifuata kwenye mtandao wa Twitter nami bila kusita nikamtumia ujumbe kwenye inbox, naye akanijibu,” Oriyomi alisema.
Hapo ndipo safari ya mapenzi yao ilivyong’oa nanga na mwaka mmoja baadaye wanandoa hao wamejaliwa watoto mapacha.
Habari Nyingine: Nataka mshahara wa pauni 300,000 kila wiki ndiposa nisalie Man U – Marcus Rashford
Kupitia ukurasa wake wa Twitter baba huyo mwenye furaha aliwahimiza wanaowatafuta wachumba wasife moyo kwani wakitumia vema mitandao ya kijamii watapata wapenzi wa dhati.
Habari Nyingine: Sheria inamuonea ‘boy child’, majaji watatu wasema
Read: ENGLISH VERSION
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected]; [email protected] au WhatsApp: 0732482690. Tufuate kwa Telegram: Tuko news.
Tazama habari zaidi kutoka TUKO TV
Source: Tuko