Wakenya wajadili sababu ambazo benki za Kenya huwa hazina vyoo vya wateja ▷ Kenya News

Wakenya wengi wanaamini kuwa benki zinapaswa kushughulikia mahitaji ya wateja wake ipasavyo kabla ya kuzingatia masuala mengine

Ila kuna jambo moja ambalo limekuwa likiibua maswali kadha wa kadha kati ya Wakenya na huenda jawabu lisipatikane hivi karibuni.

Wakenya wengi wamekuwa wakishangazwa ni vipi benki za Kenya huwa hazina vyoo ambavyo vinaweza kutumika na wateja ikizingatiwa huwa kunakuwa na foleni refu ambayo huchukua muda mwingi wa mteja akiwa kwenye benki.

Wakenya wajadili sababu ambazo benki za Kenya huwa hazina vyoo kwa wateja

Wakenya wajadili sababu ambazo benki za Kenya huwa hazina vyoo kwa wateja
Source: Facebook

Wakenya wajadili sababu ambazo benki za Kenya huwa hazina vyoo kwa wateja

Wakenya wataka kujua ni kwa nini benki huwa hazina vyoo vya wateja wake
Source: Facebook

Na kila mteja anapouliza mfanyakazi yeyote wa benki iwapo anaweza pata mahali pa kwenda kujisaidia hata iwe haja ndogo, huwa anakatazwa kuwa havipo vyoo vya wateja.

TUKO.co.ke iliweza kuzungumza na baadhi ya Wakenya ambao walitoa maoni tofauti huku wengine wakidai huenda ikawa masuala ya kiusalama ndio huchangia sana.

Wakenya wajadili sababu ambazo benki za Kenya huwa hazina vyoo kwa wateja

Wakenya wajadili sababu ambazo benki za Kenya huwa hazina vyoo vya wateja wao
Source: Facebook

Read: ENGLISH VERSION

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia [email protected]; [email protected] au WhatsApp: 0732482690. Tufuate kwa Telegram: Tuko news.

Tazama habari zaidi kutoka TUKO TV

Source: Tuko.co.ke


Posted

in

by

Tags: